inaitwaje iyo kama kandambili!?mkuu kuna chupi nyingine za wasichani hutaweza kuivaa.kuna ile iliyokaa kama kandambili,utivaaje?mia
Sijakuelewa,
Unamaanisha kubadilishana Chupi kwa wale wanaoiba, ama?
Si unatafuta kuvunja ndoa za watu?
We sema kwa mume na mke labda.
Mfano wewe tunakuona umetinga viwalo, umetoka mwenyewe,
Kumbe ndani una Bikini ha ha ha ha!!!