Tukienda kwa fundi wanapima hips wanadhani kiuno

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Watu wengi now tumekalili suruali tunavalia kiunoni when in effect it's hips na kiuno kipo kw kitovu that's why baba na Babu zetu suruali ndo walikuwa wanavalia juu kabisa na kutuona cc wahuni tukishusha chini. Now hata tukienda kwa fundi wanapima hips wanadhani kiuno. No Kiuno kipo sehem ya kitovu. Tupopazoea ni Hips. That's why magauni ya wanawake pale katikati pembamba na imepanda ndo kiuno.
 
Mimi navalia kwenye kitovu sivai chini ya kitovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…