wazo zuri sana hilolabda tupachikane mimba ndio tutakua na uelewano ,bila hivo hakuna kitu
Unafaham kuwa changamoto za kufanya hivyo zitakuwa kubwa zaidi ya zilizopo sa hizi?1. Kuwe na sera moja ya Uchumi hasa wa viwanda.
2. Thamani ya fedha,iwe moja (iliwahi kuwa hivyo kabla ya uhuru).
3. Kuwe na katiba moja,rais mmoja, nchi wanachama ziongozwe na mawaziri wakuu.
4. Vyama vya siasa viwe na sura ya kijumuiya (mfano kama ilivyo Tz bara na Visiwani).
Kwa uelewa wangu,haya ni kati ya mambo ambayo yakifanyika,jumuiya yetu itakuwa imara.
Nimeangalia kwa umakini,ziara, mikutano ,mahusiano na hoja na hotuba za viongozi wetu wakuu, naona bado kuna hatari ya kutokea yale yale ya 1977.
Kuna migawanyiko inaanza kujitokeza kwa kasi.
Ngumu kumeza, ukizingatia muungano wenu na Zanzibar umejaa utata, kale ni kakisiwa kadogo tu lakini figisu za muungano wenu nao huo haueleweki. Mara mnatishia kuwakatia umeme, mara hiki mara kile. Wanzazibari wenyewe huwa wanaona kama kwamba nyie mnawachelewesha, yaani wao husema wangekua kivyao wangekua mbali kiuchumi.
Tuendelee jinsi tulivyo, kila mtu abaki na makelele yake ya ndani, tuhusiane tu kwenye biashara na ikiwezekana elimu. Pia hilo la fedha naona sawa.
Iliyokuwa EAC ya kwanza(1967) kabla ya kuvunjika 1977,inawezekana ilijipambanua zaidi kuliko inayotaka kujengwa sasa. Kulikuwa na commonalities nyingi za kiuchumi ,kiutamaduni na kisiasa, tofauti na ilivyo sasa. Maraisi wale,ndio walikuwa viongozi wa kwanza baada ya kukabidhiwa nchi kutoka wakoloni,na malengo walioanza kujiwekea yalifanana kwa kiasi fulani. Alipoingia Idd Amini 1971,miaka 4 baada ya kuundwa EAC,ndo mambo yalianza kuvurugika! Laiti,wale maraisi wa mwanzo,wangeafiki,akawepo raisi mmoja kwa EAC yote,kusimamia malengo waliyojiwekea, naamini tungekuwa na hatua zaidi za kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni.Ngumu kumeza, ukizingatia muungano wenu na Zanzibar umejaa utata, kale ni kakisiwa kadogo tu lakini figisu za muungano wenu nao huo haueleweki. Mara mnatishia kuwakatia umeme, mara hiki mara kile. Wanzazibari wenyewe huwa wanaona kama kwamba nyie mnawachelewesha, yaani wao husema wangekua kivyao wangekua mbali kiuchumi.
Tuendelee jinsi tulivyo, kila mtu abaki na makelele yake ya ndani, tuhusiane tu kwenye biashara na ikiwezekana elimu. Pia hilo la fedha naona sawa.
labda tupachikane mimba ndio tutakua na uelewano ,bila hivo hakuna kitu
Na hiyo ndio hoja inayoushikilia muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Eti tumeshatiana mimba miaka mingi.
Sasa, Kenya, Rwanda na Burundi kuna ukabila, sidhani kama watakubali kutiana tiana mimba na Watanzania.
Point namba 2 inashughulikiwa tayari.1. Kuwe na sera moja ya Uchumi hasa wa viwanda.
2. Thamani ya fedha,iwe moja (iliwahi kuwa hivyo kabla ya uhuru).
3. Kuwe na katiba moja,rais mmoja, nchi wanachama ziongozwe na mawaziri wakuu.
4. Vyama vya siasa viwe na sura ya kijumuiya (mfano kama ilivyo Tz bara na Visiwani).
Kwa uelewa wangu,haya ni kati ya mambo ambayo yakifanyika,jumuiya yetu itakuwa imara.
Nimeangalia kwa umakini,ziara, mikutano ,mahusiano na hoja na hotuba za viongozi wetu wakuu, naona bado kuna hatari ya kutokea yale yale ya 1977.
Kuna migawanyiko inaanza kujitokeza kwa kasi.
Good alafu Nairobi iwe Federal Capital Territory outside of Kenyaalafu tuwekee Nairobi as the capital city...wazo zuri