Tukifungwa na Costal nilimwe ban

Tukifungwa na Costal nilimwe ban

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Simba imara,mnyama mwenye hasira kali sana,mnyama aliyepita kwenye majiribu,fitna na hujuma.sasa ametulia na mpira wake mkubwa.Kesho anacheza na Coastal.Kwa kuwa timu yangu iko katika kiwango chake,kwa kuwa Dany&Okwi wako katika viwango vyao,Hivyo kama watafungwa kesho nipigwe ban
 
Hafu Yanga jiandae kiakili,tutawanyoa kwa kucha hiyo date
 
Simba imara,mnyama mwenye hasira kali sana,mnyama aliyepita kwenye majiribu,fitna na hujuma.sasa ametulia na mpira wake mkubwa.Kesho anacheza na Coastal.Kwa kuwa timu yangu iko katika kiwango chake,kwa kuwa Dany&Okwi wako katika viwango vyao,Hivyo kama watafungwa kesho nipigwe ban
Baada ya kukimbia juzi ndo leo unarudi!!!?
Na kesho mkichafuliwa na coast sijui kama utarudi tena humu.
 
Simba imara,mnyama mwenye hasira kali sana,mnyama aliyepita kwenye majiribu,fitna na hujuma.sasa ametulia na mpira wake mkubwa.Kesho anacheza na Coastal.Kwa kuwa timu yangu iko katika kiwango chake,kwa kuwa Dany&Okwi wako katika viwango vyao,Hivyo kama watafungwa kesho nipigwe ban

cc Invisible
 
Last edited by a moderator:

tuko pamoja mkuu.ushindi lazima ....
 
Wee naye huna bundle tu, hebu tupishe siye. Unajua hamshindi ndio maana unaomba ban, ambayo haitatokea.
 
Kwa kumsaidia Invisible hebu taja kabisa unataka kulimwa ban ya muda gani?
 
Last edited by a moderator:
OKW BOBAN SUNZU ni mtu muhimu sana katika jamiiforums. najua atakuaja baadaye awe DAN,OKW,... MNYAMA UNYAMANI tuwafunge kishikaji tu hao coastal huku tukipasha misuli moto kwa ajili ya kupambana na Yanga siku zijazo. hapa Bantu Lady ntamapaka ili aangalie mechi kwa raha zake.
 
Back
Top Bottom