OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Baada ya kukimbia juzi ndo leo unarudi!!!?Simba imara,mnyama mwenye hasira kali sana,mnyama aliyepita kwenye majiribu,fitna na hujuma.sasa ametulia na mpira wake mkubwa.Kesho anacheza na Coastal.Kwa kuwa timu yangu iko katika kiwango chake,kwa kuwa Dany&Okwi wako katika viwango vyao,Hivyo kama watafungwa kesho nipigwe ban
haaah,haaah tarehe 17 sio mbali mjiandae kiakiliBaada ya kukimbia juzi ndo leo unarudi!!!?
Na kesho mkichafuliwa na coast sijui kama utarudi tena humu.
Simba imara,mnyama mwenye hasira kali sana,mnyama aliyepita kwenye majiribu,fitna na hujuma.sasa ametulia na mpira wake mkubwa.Kesho anacheza na Coastal.Kwa kuwa timu yangu iko katika kiwango chake,kwa kuwa Dany&Okwi wako katika viwango vyao,Hivyo kama watafungwa kesho nipigwe ban