nanga mstafu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 381
- 649
Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, unye kuanzia Mwenge hadi huko mbali hivyo kwani umekula vyakula gunia ngapi? 😂😂😂😂😂Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Hata wakituonea huruma lesotho atakaza, Kwa mabaya tunayofanyiwa hii nchi hakuna cha uzalendo tufungwe tuHatuna kikosi cha kumfunga Uganda labda watuonee huruma tu.
Cc; Kaguta M7
Mkuu mimi kazi yangu itakuwa kukupiga picha tuYani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Ulitaka ntoe ahadi ya kukuoa?Mmemuona mpumbavu uyu, baada atoe ahadi vitu vya maana, yeye anataka anye njiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie asipate shida kunya umbali mrefu hivyo,aje aninyee magetoniMkuu, unye kuanzia Mwenge hadi huko mbali hivyo kwani umekula vyakula gunia ngapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We sio mtanzania shwaini kabisa we we rudi kwenu.mwehu mkubwaYani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Kabla vita ya mashoga inabidi watanzania waanze na watu kama nyieUlitaka ntoe ahadi ya kukuoa?
Ahadi aliyoitoa bar shite umeona ni ya maana?
Kwani sio kitu cha maana maeneo yote atakayokunya miti na maua yatastawi sana tena pale terminal three ndio pata vutiaMmemuona mpumbavu uyu, baada atoe ahadi vitu vya maana, yeye anataka anye njiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufuzu kwa kutegemea mtu fulani afungwe ni ngumu sana. Niwashauri tuiunge mkono Simba tu bila kujali itikadi za kisoka au chama wala dini