😀😀😀😀
We nae ndiyo chizi la mwisho, by the way uliona mpira ulipigwa Jana?Kufuzu kwa kutegemea mtu fulani afungwe ni ngumu sana. Niwashauri tuiunge mkono Simba tu bila kujali itikadi za kisoka au chama wala dini
Upumbavu mtupu! Kwahiyo iliyoshinda Jana ni simba? Mbwa koko Mkubwa wee
Huyo mwanga wako mwambie aache utapeliKIMENUKA: Kiongozi wa kanisa la mitume na manabii Baba Mchungaji Daudi Mashimo apokea maono kuwa Starz itafungwa leo.
Can you say this again? Akili zako ndogo sana.Kufuzu kwa kutegemea mtu fulani afungwe ni ngumu sana. Niwashauri tuiunge mkono Simba tu bila kujali itikadi za kisoka au chama wala dini
Yule wa kushusha mzigo toka mwenge hadi JNIA ameshaanza au?
Umekunya sasa ? Nakuuliza umekunya?Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa