Tukifuzu AFCON mechi ya leo nakunya kuanzia Mwenge hadi uwanja wa ndege

Mkuu mechi unaionaje? Hawa ndo waganda unaowafahamu wakisakata kambumbu?

Je ile ni penati halali? Alieambiwa ameshika hajashika na hajalalamika inawezekana kirahisi?

AFCON tutatia aibu ya karne

Marudio uliyaona mkuu! ile ni clear penati! Pole sana kama hufurahishwi na matokeo ya timu yetu ya Taifa. Uzalendo kwanza. Leo hakuna cha ccm wala chadema. Taifa Stars kwanza.
 
Marudio uliyaona mkuu! ile ni clear penati! Pole sana kama hufurahishwi na matokeo ya timu yetu ya Taifa. Uzalendo kwanza. Leo hakuna cha ccm wala chadema. Taifa Stars kwanza.
Mimi ni mtanzania na nafurahia mema ya timu yetu ila hatuna kiwango kabisaaaaaa review tena clip ya penati uone hakugusa mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…