Tukikamilisha miradi ya Stiegler's Gorge na SGR pekee. Ona habari hii na fanya hesabu kuhusu sisi kuendelea kukopesheka na utathimini tunaelekea wapi

Kwa tozo zinazoendelea bandarini naona kenya watafanyabiashara zaid yetu. Sarikali yetu iko bize sana kutoa hela mifukoni mwetu wananchi saiz wako na vitambulisho vya chinga, mara wanaofanya biashara mtandaoni waendekujiorodhesha tra sasa kazi ya gesi,makaa ya mawe na rasilimali nyingne kuleta hela iko wapi
 
Atleast Ungepata kiti maaalum ungewasaidia wenzio kumjibu Nape siku hiyo.
Nape CCM, Mimi CCM. Jinsi demokrasia ilivyo ndani ya CCM tunaweza kukubaliana kutokubaliana kiulaini kabisa.

Zitto vipi?
 
Sema kweli wewe ni katika waliotumbuliwa. Ilikuwa ni kwanini? Vyeti feki au wizi?
 
Nape CCM, Mimi CCM. Jinsi demokrasia ilivyo ndani ya CCM tunaweza kukubaliana kutokubaliana kiulaini kabisa.

Zitto vipi?
Mawazo kama haya ya wabunge wa ccm ndio yametufikisha hapa. Najua umeamua tu kujishusha lakini huwezi kuwa na mawazo ya kiwango hiki I agree to disagree
 
Nape CCM, Mimi CCM. Jinsi demokrasia ilivyo ndani ya CCM tunaweza kukubaliana kutokubaliana kiulaini kabisa.

Zitto vipi?

Zitto anaunga mkono hoja ya Nape.

Hivi vikao vya ccm Leo na kesho sijui kama MTU atapona
 
Mawazo kama haya ya wabunge wa ccm ndio yametufikisha hapa. Najua umeamua tu kujishusha lakini huwezi kuwa na mawazo ya kiwango hiki I agree to disagree
Tumeshuhudia wimbi la wabunge wa chadema wakihamia CCM. Bahati mbaya?
 
Tumeshuhudia wimbi la wabunge wa chadema wakihamia CCM. Bahati mbaya?
Nani anataka hizo stress za kuwa mpinzani kwenye awamu hii unateswa kama mhaini

Hivi faiza in wewe au kuna Kenge ameiba pasiwedi yako?
 
Itakuwa kama takijistannbaada ya kupata uumeme
 
Watanzania wao wakiita SGR au jina jipya wanadhani old hàbit die easily, they are not, kwanza it will be worse todày, sisi siyo wafanyakazi, ni bado hunter and gatherers, utaalamu wa kuongoza vitu vya kisasa ukichanganya na siasa ni very toxic, leo hakuna mtu anakueleza kama dreamliner inalipa au laa, usiri wa kijinga tuu, ndege inacost mabillioni ya usd , inafanya trip fupi, moja kutoka dar to mwanza, mara hoo tiketi zinahujumiwa , nani analipa depreciated cost hawajui, nani analipa parking fees hawajui, nani analipa key staff ambao wanazidi nane kwa kila trip ,hawajui, baada yake wanaleta nyingine , stupid, yajayo yanafurahisha2
 
Wanasiasa na wanaonufaika na posho za miradi hiyo hawawezi kukuelewa kabisa. Ila kwa kuchukulia mfano wa tazara tu inasikitisha sana na kunalakujifunza kwenye miradi hii kabla ya kuingia kwenye madeni mengine.
Tazara on tanzania side, aas the easiest easiest, kwa sababu inapita maeneo ambayo ni grain and food baskets ya nchi hii , lakini wafanyabiashsra wote wanaona heri watumie malori, na kadhaa zote kuliko kutumia tazara, hata kwa vitu kama mbao au mahindi, tumeshindwa tumeshindwa, leo subir SGR , utacheka hapo itakaposhindwa na vi fuso
 
Uzuri nakufahamu vizuri una ufahamu vizuri sana na nakuheshimu sana sema tu Leo kama una kisirani vile!
Naona Umeacha hoja sasa unanivaa mimi. Nafahamu, tatizo ni darsa tu.
 
Nani anataka hizo stress za kuwa mpinzani kwenye awamu hii unateswa kama mhaini

Hivi faiza in wewe au kuna Kenge ameiba pasiwedi yako?
Achana na passwords jikite kwenye mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…