Tukikumbuka ni wetu tunanyamaza

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Ingekuwa sio wetu tungesema bahasha kipa kawaangusha. Ni tabulalasa. Ila kila tukikumbuka ni wetu tunakuwa wapole ns kubaki na jazba moyoni.
 
Lile goal la jana ni la mchongo acha ushabiki maandazi
 
Ila Manula naye muongo! Sasa huko pembeni alikuwa anafanya nini! Yaani ameacha mpira unaingia golini, yeye kaenda kubinuka pembeni! 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…