Nilimpenda kwa mara ya kwanza akanipenda. Nilikuwa mwaminifu kwake na kimsingi tulipendana sana. Ni miaka 11 hatujaonana. Tulitengana baada ya masomo yetu, barua na picha alizonitumia baada baada ya masomo zipo. B,se of changing address tulipotezana. I hope she is married now as I am. Tulitengana kwa amani na mara kadhaa huwa namuota ndotoni. Natamani kumwona kwa sasa ila naiheshimu family yangu. Napenda tukutane ila naogopa tunaweza kukumbushana ya wakati ule...suppose we meet maishani itakuwaje? Nawasilisha zigo hilo kwenu great thinkers.