Tukileta ujuaji tunakula Hamsa kwa Mkapa

XII Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
4,345
Reaction score
7,076
Habari wakuu

Ningependa kutoa rai kwa kocha wetu Robertinho ikiwa chama, Saidoo, Sakho, Phiri, Baleke wako vizuri, basi ujuaji na ufundi uliopitiliza na kujaribu mifumo aweke pembeni kwanza.

Najua muda huu molari ya wachezaji ipo juu sana kuelekea game ya jumamosi yani kiufupi ni kwamba wachezaji game wanaitaka, hivyo ningependa aweke full mziki kipigwe/tuwakimbize kwa dk zote 90.

Akileta ujuaji wake sijui kibu anacheza direct, kyombo ana mikimbio mizuri matokeo yake dk ya 15 chama nje kibu ndani, hatujakaa vizuri dk 30 Saidoo nje Kapama ndani. Tunakula Hamsa kweupe hapo hapo lupaso.

Yani hawa wakina Bocco, Kibu, Kyombo na wengineo wasihusike kabisa na mchezo hata benchi wasikae maana shetani hana maana anaweza akakupitia ukajikuta umemuinua kibu achukue nafasi ya mtu mapema.

Ikiwezekana hapo benchi wakae hata bodi ya wajumbe ya wakurugenzi, yani tuwakimbize mwanzo mwisho.
 
Mimi huwa naona Kibu anachafua nyota ya Simba kwenye ushindi.ikifanyika sub ya kumuingiza Kibu kabla Simba ajapata goli alafu akaingia basi imeisha iyo akuna goli hapo litapatikana.
Inakua kama kuhitimisha na sio kuongeza kitu
 
Itakua poa kula hamsa😂😂😂
Mwaka wa saba huu sijagusa pombe ila wakipigwa hamsa Jumamosi hii haki ya nani najipigilia Balimi tatu 😁😁😁

Screenshot_20230214-105342_Chrome.jpg
 
Mimi huwa naona Kibu anachafua nyota ya Simba kwenye ushindi.ikifanyika sub ya kumuingiza Kibu kabla Simba ajapata goli alafu akaingia basi imeisha iyo akuna goli hapo litapatikana.
Mbona mechi na horoya, sub ya kibu ndio ilipeleka nafasi nyingi, umuhimu wa kibu kwenye kupress, Ile game angeanza mapema Simba hata ushindi angepata
 
Habari wakuu

Ningependa kutoa rai kwa kocha wetu Robertinho ikiwa chama, Saidoo, Sakho, Phiri, Baleke wako vizuri, basi ujuaji na ufundi uliopitiliza na kujaribu mifumo aweke pembeni kwanza.

Najua muda huu molari ya wachezaji ipo juu sana kuelekea game ya jumamosi yani kiufupi ni kwamba wachezaji game wanaitaka, hivyo ningependa aweke full mziki kipigwe/tuwakimbize kwa dk zote 90.

Akileta ujuaji wake sijui kibu anacheza direct, kyombo ana mikimbio mizuri matokeo yake dk ya 15 chama nje kibu ndani, hatujakaa vizuri dk 30 Saidoo nje Kapama ndani. Tunakula Hamsa kweupe hapo hapo lupaso.

Yani hawa wakina Bocco, Kibu, Kyombo na wengineo wasihusike kabisa na mchezo hata benchi wasikae maana shetani hana maana anaweza akakupitia ukajikuta umemuinua kibu achukue nafasi ya mtu mapema.

Ikiwezekana hapo benchi wakae hata bodi ya wajumbe ya wakurugenzi, yani tuwakimbize mwanzo mwisho.
Sijui ni wadogo au mmependa mpira ukubwani simba kufanya vizuri uwanja wa nyumbani haijaanza juzi juzi mwaka 2002 tulicheza group stage hatukufungwa nyumbani Simba wanajua nini wanafanya yanpokuja mashindano ya CAF,msimu uliopita ndio walikua na timu mbovu zaidi ila kwa mkapa kilichotokea mnakumbuka
 
Ni vizuri kuto kuishi kwa historia pia..
 
Ngoja tuone muendelezo wa ule msemo wa "hatoki mtu kwa Mkapa" kama utaendelea kudumu, au utajifia kifo cha mende!
 
Ni vizuri kuto kuishi kwa historia pia..
Sio historia inawezekana hata mtoa mada haujaangalia mechi ya Raja vs Vipers unakuja kuanzisha tuu uzi hapa,ile mechi nimeiangalia Raja niwakawaida wamefungwa magoli kwakua ni wachanga wa mashindano na makosa binafsi ya mabeki na kipa
 
Naungana na wewe mkuu, ila sub za kocha wetu unazijua..
 
Yani hawa wakina Bocco, Kibu, Kyombo na wengineo wasihusike kabisa na mchezo hata benchi wasikae maana shetani hana maana anaweza akakupitia ukajikuta umemuinua kibu achukue nafasi ya mtu mapema.
Alafu mm nashangaa team yetu simba inavyo wabembeleza hao wachezaji yaani haiwezekani vipaji vimeshaporomoka bado unamng'ang'ania mtu.

Mpira ni sanaa
Mpira ni burudani

Wanasimba tukatae hii tabia ya viongozi wetu kutofanya usajili wa kueleweka na kuacha wachezaji ambao hakuna kitu cha maana wanaoffer kwa team.
Mpira ni biashara wajue sio sehemu ya kulea au kuonea watu huruma..

tumia mchezaji ukiona kashuka kiwango weka pembeni tafuta mwingibe ndio maana ya kuwalipa millions of money hao wachezaji.
 
Nashukuru umeliona hilo pia, kuna sub zinafanyika kishkaji sana..
 
Back
Top Bottom