Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Ahahahaaaaaaa mkuu watu vichwa vinauma huko hawaamini kama ingekuwa hiviYaaani hii inanikumbusha Walimu wa Dini walivyomfuata Yesu kumjaribu kwa swali Eti kama Yeye ni masihi au vipi?b
Hawajui washike lipi waache lipi. Shauri yao! Nani aliwaambia wampige risasi?ππππAhahahaaaaaaa mkuu watu vichwa vinauma huko hawaamini kama ingekuwa hivi
Jamaa anataka kujitoa. Kuna uwezekano TL akashindana na Hashimu Rungwe tu.Ahahahaaaaaaa mkuu watu vichwa vinauma huko hawaamini kama ingekuwa hivi
Thubutu yenu. Ndo mtaijua nguvu ya umma ni nini!!! Jaribuni tu. Tuko tayari kupigwa risasi woteNakwambia anakatwa mapeeema, we'll surprise it on the day..!
Ivulati jitimileImbombo ngafu
Mwishowe Magufuli anamalizia urais wake miaka kumi iliyobakiHawajui washike lipi waache lipi. Shauri yao! Nani aliwaambia wampige risasi? ππππ
Amini maneno yangu. Baada ya October anarudi Chato kustaafu kwa upole.Mwishowe Magufuli anamalizia urais wake miaka kumi iliyobaki
Mtapigwa risasi kwenye keyboard?Thubutu yenu. Ndo mtaijua nguvu ya umma ni nini!!! Jaribuni tu. Tuko tayari kupigwa risasi wote
Kwani tarehe 27 alipowasili shujaa tulikuwa kwenye keyboard za Airport na Dar au?Mtapigwa risasi kwenye keyboard?
Hilo halitatokea kamwe, tunza hii comment yangu.Amini maneno yangu. Baada ya October anarudi Chato kustaafu kwa upole.