Sasa kama tangu Machi hii habari inafahamika kwa nini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa? Kuna mtu mmoja aliyekata tamaa akasema,ni heri nchi iuzwe kila mtu agaiwe cha kwake ahamie anapokujua( ni wazo la kijinga na ni la waliokata tamaa lakini kwa jicho lingine inaonyesha ni jinsi gani watu walivyochoshwa).