Tukio ambalo huwezi sahau ukiwa unasoma.

Tukio ambalo huwezi sahau ukiwa unasoma.

Kituko

Nilipandishiana na mwalimu wa somo fulani..nikaambiwa kila akiingia Mimi nitoke nje.. namimi nikajifanya nimevimba nikatoka..ikawa ivyo akiingia Mimi natoka.

Kuna siku anaingia Mimi natoka akaniambia unaenda wapi rudi darasani..dah! Ulikuwa ujinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile npo 4m two shule ilikua pande za same kulikua hamna likizo basi bwana nikaforce kwenda chuga kwa ndg yetu mmoja aliishi njiro. Sinto sahau jamaa alinitimua na nauli sikua nayo. Ilibidi nitumie njia za kikomando kufika same. Sinto sahau.
 
Back
Top Bottom