Tukio au jambo gani lilifanya uzidi kuuchukia umaskini?

Tukio au jambo gani lilifanya uzidi kuuchukia umaskini?

Mke wangu kipindi tukiwa katika uchumba alikamatwa ofisini kwao na kwenda osterbay police mahabusu. Nilienda polisi kuchelo kakamatwa kwa kosa gani huku mfukoni nikiwa na 8 million. Ilikuw saa mbili usiku na hawajachukuliwa taaarifa hapo. Askari akaniambia nije kufuatilia kesho. .

Nakumbuka yule askari mpelelezi anaitwa Abdalla kuna kipindi alishatajwa kwa heshima bungeni. Niligangaika ile siku ile kesi ilikuw ya million 34 na ya mkubwa hakuna askari aliyetak kugusa. .

Kwa kuwa ofisi ilimfanyia dharau jamaa mmoja hivi RPC Tabora basi wakasekwa ndani wafanyakazi wote ila kosa lilikuwa la bosi.

Mwisho wa siku baada ya kuhangaika sana ikabidi tumpange bosi akubali abebe kosa yeye kama yeye. Hapo tukachonga na mkuu wa kituo kupitia askari mwigine na mwisho wa siku wakaachiwa kwa dhamana kimanga.

At the end of day sijawah kudhania Tanzania hii kuna maaskari kiburi kama yule jama. Ningechelewa tu wife angeangushiwa jumbo bovu kisa ni accountant wa kampuni. .


Ila that's the day mpaka niliandika kwenye karatasi na niliandika pia I will never be weak again. (screenshot). Fucyk em still have long way to go but still nina vimeno ukinochokoza nauma. .
 
Back
Top Bottom