Ni tukio gani ulishawahi kulifanya ukiwa mtoto mpaka leo ukikumbuka unatabasamu liwe baya au zuri kivyovyote...
Upande wangu mimi
Tukio zuri ni kufaulu mtihani wa darasa la nne aisee nilifurahi sikumbuki kama nimewahi kufurahi vile.
Tukio baya nilikutwa na baba na mama nafanya matusi na mtoto wa jirani sebuleni kwetu nilikua na miaka 12 hivi aisee kila nikikumbuka nakosa amani. Kiasi nikienda kumtembelea bi mkubwa natamani kumuuliza kama anakumbuka...