Tukio gani la ajabu ulishawahi kukutana nalo wakati unasafiri?

Tukio gani la ajabu ulishawahi kukutana nalo wakati unasafiri?

muneera75

Senior Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
190
Reaction score
318
Habari..

Hivi ushawahi kusafiri kwenda safari za mikoani au nje ya nchi au hapa na pale mfano Kariakoo au Tandika au Mwenge alafu ndani ya bus au gari ukakutana na kitu cha ajabu au cha kutisha au kushangaza?

Au katikati ya safari kuna kuchimba dawa. Pale ushawahi kukutana na kitu gani si cha kawaida kwako?
 
Nipo kwenye safari muda huu ndo nakutana na kitu ambacho sio cha kawaida hii thread yako
 
Nilikuwa nikisafiri kwenda Kahama, tulifika Mji mmoja katikati ya Pori dereva kasimamisha gari tuchimbe dawa,wote tukaingia chaka mida km 10jioni...wakati nachimba dawa naangalia mbele yangu kuna jimama nene hiloo limechutama linakojoa nliogopa aisee! Sisahau hiyo siku.
 
Nilikua naenda Arusha kwenye siti nikawa nimeka na dada m1 pembeni

Safari ikaanza yule dada akawa anasinzia anakuja hadi kwangu ananiegemea

mi kimya nikasema sio vizuri kumsukuma dada wa watu basi nikawa namuacha analala

Taratibu nikaona anaendelea kusinzia akashuka hadi akajilaza kichwa chake kwenye mapaja yangu

Muda wote huo mzee nipo kimy...kalala weeeee sijui akanogewa nini yule dada sikumuelewa kabisaa

Akageuka akalala kama wanafunzi tukilalia dawati so akawa kaweka mikono yake juu ya mapaja yangu

Then kichwa akakilaza juu ya mikono yake Mi nipo kimya tu muda wote naangalia mchezo mzima

Mwisho kilichofata ile mikono yake aloiweka juu ya mapaja yangu akaanza kuisogeza kwenye dushe langu

Nikaona vidole vina scratch aseee........

ila ilikua maajabu.....
Itaendelea......
 
Nilikuwa natoka kampala naelekea dar , wakati tupo kenya mida ya usiku gar ikiwa bado inatembea kulirushwa jiwe likapasua kioo siti ya nyuma kwa dereva, nahisi lengo lilikuwa ni kumpiga dereva ili asababishe ajali ili wafanye tukio baya, dereva wala hakutetemeka ndo kwanza aliongeza mwendo.
Tulimshukuru mungu kwakua tulifika salama na hakuna alieumia.
 
Nilikuwa natoka dar to mbeya Siti ya dirishani
Nipo busy nasoma novel “the bad beginning”
Nashtuka mdada bonge wa pembeni yangu mara hakai vizuri kama analalamika. Kuchunguza vizuri nikagundua anatiwa vidole na jamaa kakaa siti ya ya upande wa pili kafunika koti between nafasi ya Kati ya kupita hadi mapajani mwa yule demu. Nikapandisha mzuka ghafla but nikaamua kuwa mdogo kuendelea na novel. I don’t know nisingekuwa nayo ingekuwaje. Wakashuka wote Mafinga nikashukuru.

Natoka dar naenda mbeya
Nimepanda jm
New force ilitu overtake mara tatu hata hatujafika moro. The fourth time ameshaorvatake na sisi hatukuweza kumpisha mbele kuna Lorry linakuja. Bahati nzuri tukasogea kwenye edge ya barabara akapata upenyo akapita akapunguza mwendo. Tunampita akaanza kuchezesha bus akatugonga na kuvuja kioo. Nikapata hasira nikamwambia driver amblock kwa mbele asimame. Ile tumeshuka na bus lingine likasimama mbele kuna jamaa akatoka na panga alitaka kumpa haki dereva wa new force. Tukazuia gari hadi police waje wakaja tukasolve. Haikupita week ile new force ilipata ajali na driver alifariki.

Itaendelea.......
 
Ndani ya daladala kile kiti cha wanafunzi abiria ameingia akakaa upande mmja kikanyanyuka ghafla paka akatoka tulishuka wote kweny gari.
 
Back
Top Bottom