Tukio gani lilikufanya ukae mkao huu kitandani

Ndugu nililia sana halafu yeye kakaa kama huyo jamaa, anashindwa hata kunibembeleza.
Kilichofuata nilimtembezea mkong'oto ndiyo Siku niliyogundua naweza kumpiga mume wangu.
Nilimpiga hadi nikaishiwa nguvu. Nikaamua kukubaliana na matokeo
Hahahahaha. Ila akili zenu mnazijua wenyewe maana hapo jamaa alipigwa na mito, taulo na midoli. Kweli wahenga hawakukosea kuwa kofi la mpenzi haliumi
 
Weee nilimpiga mangumi , makofi, mkanyaga kanyaga na mateke, na kumng'ata juu
 
Hahaha,mim ndo nilikaa kama huyo demu asee,..baada ya kugegedana na dem wangu ,usiku nkalala kumbe yeye hajalala,anapekua sim yangu na sjui password aliijuaje,..akapita whatsap,fb,msg,instagrm kootd huko,..akaniamsha usiku wa manane,.aliponionyesha hayo yote kudaadek skujua cha kufanya manake nmekamatwa,nkasema hapa dawa ni kujiliza tuu,tehteh,dem alipoona najiliza hakuamin kua njemba inalia,nkaona nayey hasira znapungua,.jion nkarud nkamletea mazawad kibao,ndo ugomv ukaisha,maana huko alikofukunyua alikuta wenzie kama wa3 hiv na mitongozo mingne ya haja
 
Ndugu nililia sana halafu yeye kakaa kama huyo jamaa, anashindwa hata kunibembeleza.
Kilichofuata nilimtembezea mkong'oto ndiyo Siku niliyogundua naweza kumpiga mume wangu.
Nilimpiga hadi nikaishiwa nguvu. Nikaamua kukubaliana na matokeo
Hahaha sumbai anachezeeaga vichapo? Mkute sasa akiwa anapiga watu biti humu
 
Ndugu nililia sana halafu yeye kakaa kama huyo jamaa, anashindwa hata kunibembeleza.
Kilichofuata nilimtembezea mkong'oto ndiyo Siku niliyogundua naweza kumpiga mume wangu.
Nilimpiga hadi nikaishiwa nguvu. Nikaamua kukubaliana na matokeo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah...
Umeamua uje useme humu? Yani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…