Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 213
- 671
Mmh mwaka gani huo?Sisi bwana nakumbuka pepa ilikuja na marking scheme, waandaaji naona walijichanganya sana. Dah!
Mwaka huo matokeo nchi nzima alama ya mwisho kwa kila mtahiniwa ilikuwa 95. Yaani waliamua kusahahihisha hadi ubora wa mwandiko na aina ya peni iliyotumika kuandikia, kwa vile hakuwa na jinsi.
Kufariki kwa marehemu kanumba mwaka 2012Mimi nakumbuka tukiwa Mtihani wa Geography tulitolewa chumba cha Mtihani kwa madau Pepa imevuja hadi Bungeni Wabunge wanayo. Tukasimamiswa wote Mtihani ubabadilishwa siku, wazimamizi na rangi mtihani kutoka Njano kuwa Nyeupe.
Sitasahau tulifutiwa mitihani 1998...na ndo mwanzo wa polis kuisimamia mitihaniMimi nakumbuka tukiwa Mtihani wa Geography tulitolewa chumba cha Mtihani kwa madau Pepa imevuja hadi Bungeni Wabunge wanayo. Tukasimamiswa wote Mtihani ubabadilishwa siku, wazimamizi na rangi mtihani kutoka Njano kuwa Nyeupe.
Nakumbuka paper la civics boys walilipata wakajichimbia chimbo kusolve, Asubuhi ndio tunasikia. Basi tukawalaumu na kuwaona mashetani. Kuingia kwenye paper kumbe silo, weeeh walidataaa🤣🤣🤣2004, mitihani ilivuja balaa, tulikuwa tunasoma boarding tulikuwa hatujui hata kinaendelea Nini.
Tuliporudi nyumbani ndio tunaambiwa Pepa limevuja balaa. Wenzetu wa shule za day waliokuwa wanajimini watafaulu.
Matokeo kutoka Sasa😂😂😂waliopata Pepa wacha waangukie pua.
Pepa lenu lilisahishwa mara mbili 😂2012.. watu tulilamba zero balaa.. bunge likaingilia Kati mitihani usahihishwe upya, mwamba ndalichako akatokewa Necta... Jiwe akaja kumkumbuka 2015