Ngunya1 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 796 Reaction score 1,385 May 30, 2021 #1 Habari wapendwa kwema mimi binafsi tukio ambalo liliniumiza ni pale nilipo poteza Kazi mara ya kwanza kwa sababu ya majungu. Ashukuriwe Mungu wa mbinguni baada ya wiki mbili nilipata kazi nzuri sana na wale walio fanya majungu baadae waliaibika sana. Share chochote ambacho kilikuumiza.
Habari wapendwa kwema mimi binafsi tukio ambalo liliniumiza ni pale nilipo poteza Kazi mara ya kwanza kwa sababu ya majungu. Ashukuriwe Mungu wa mbinguni baada ya wiki mbili nilipata kazi nzuri sana na wale walio fanya majungu baadae waliaibika sana. Share chochote ambacho kilikuumiza.
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,684 Reaction score 45,615 May 30, 2021 #2 Kweli ili uwe dhahabu lazima upite kwenye moto,lol ni mengi tuu kwasasa yamebaki hadithi...
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 13,481 Reaction score 26,392 May 31, 2021 #3 Hili la Bi Mkubwa kuweka kipaumbele kwenye uapishajiiiiiiii, badala ya kwenda Mto Rufiji kukagua mradi wa umeme. Sitalisahau tukio hilo kwa kweli 🙂 ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ ~ JPM.
Hili la Bi Mkubwa kuweka kipaumbele kwenye uapishajiiiiiiii, badala ya kwenda Mto Rufiji kukagua mradi wa umeme. Sitalisahau tukio hilo kwa kweli 🙂 ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ ~ JPM.
ngome1838 JF-Expert Member Joined Feb 20, 2019 Posts 2,027 Reaction score 2,498 May 31, 2021 #4 Nilipoota nipo moja ya nchi za ulaya nakula mabumunda nilipoamka nikakuta nyumba imejaa moshi wa takataka zilizokuwa zinachomwa jirani
Nilipoota nipo moja ya nchi za ulaya nakula mabumunda nilipoamka nikakuta nyumba imejaa moshi wa takataka zilizokuwa zinachomwa jirani
Patra31 JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 6,934 Reaction score 13,954 May 31, 2021 #5 Kumpoteza mzazi mwenzangu nilieamin ipo siku tutasimama pamoja kuitunza familia yetu.
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,030 Reaction score 61,298 May 31, 2021 #6 Sina hata moja Sina wasiwasi Wala woga nakulaga tu maisha Kama ifuatavyo...sio mchezo