Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Enzi huzo nipo chuo, mida ya asubuhi nimeenda mgahawani kupata supu then niingie zangu pindi.
Basi bwana, nikafika nikaagiza supu nikawa nasubiriwa niletewe.
Sasa kuna vile vitambaa vya kufutia meza vile, mmoja wa wahudumu alifuta meza kisha akaondoka nacho akelekea nacho kwenye sufuria la supu. Sijui alikwena nacho kuho kufanya nini..!
Sasa ile anafungua tu sufuria la supu kile kitambaa kikamponyoka kikadumbukia ndani.
Akapiga jicho kwa wateja ili aone kama wameona, akakuta namcheki, chap kwa haraka akakitoa kisha akajikausha.
Na mimi muda huo huo nikaondoka kimya kimya nikasepa...