Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Nafasi niliyoacha hapo juu ni salaam,
Kifupi mpangilio wa tukio ni mbovu kupita kiasi, Ma Mc nao ndo wameharibu kabisa shughuli yenyewe!
Kifupi hakukuwa na maandalizi kabla ya tukio au labda waliamua kufanya ilimradi iwe.
Tukio la tuzo ni tukio kubwa na lenye heshima zake siyo jukwaa la mizaha na masikhara. Tukio la tuzo za mwaka huu limetia aibu tasnia na Taifa, hebu pungzeni siasa na mizaha kwenye kazi za watu. NIMEMALIZA.