Kuna Uzi niliona mtu anasema zuchu anamzidi jide, aisee Hawa watoto wa 2000, ndo maana wanasemaga "nikilewa nakua mtamu"Tukisema kila kitu kina wakati wake mna kataa tuzo siku hizi watu wanapewa na YouTube. It is the matter of viewers and followers uwe umeimba upumbavu au umbeimba vzr. Namaanisha ni kipindi ambacho unaweza kumpambanisha Jaydee na Zuchu akashinda Zuchu. Kama ujaelewa dunia inaenda wapi kaa chini ujitafakari.
Kifupi lilikuwa tukio la aibu.Coy mzungu alipo SEMA anamshukuru mama Samia.
Saidi saidi akamzingua akamwambia aache siasa akasema wakianza kumshukuru RAIS barabara N.k coy mzungu akawa kaduwaa[emoji4][emoji17]
HAWAPO organized kabisa na ndipo usemi wa MTU MWEUSI HAWEZI KUFUATA RATIBA WALA KUJIONGOZA .