Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Mmekaa mnaandika ufala tu
Anyway, mimi bwana nilikutana na kazi moja hivi ilikaa juu ikaride ikaride halafu ikawa inashuka fasta ila siyo hadi chini inakua usawa wa kichwa tu ila haraka mno.
Halafu ghafla akatoka nikajikuta nimemdaka kumrudisha huku napiga kelele. Hii ilitokea Makumbusho hapo Talanta
mi nilikutana na mtaalam zaidi yenu, yeye anafinyia kwa nje! haswaa
Ila Sa100 anakazi sana aiseeee....π€¨
Shwaini weweUnayo namba yake.nione huo mchezo unafanywaje?
Qunajifanya wewe huandiki ujinga mbona umeandika π π π π πMmekaa mnaandika ufala tu
Anyway, mimi bwana nilikutana na kazi moja hivi ilikaa juu ikaride ikaride halafu ikawa inashuka fasta ila siyo hadi chini inakua usawa wa kichwa tu ila haraka mno.
Halafu ghafla akatoka nikajikuta nimemdaka kumrudisha huku napiga kelele. Hii ilitokea Makumbusho hapo Talanta
Yaani kwa vijana wapuuzi kama nyinyi ni heri serikali ya ccm iendelee kukopa zaidi ili deni liwe kubwa zaidi tupigwe mnada kabisa!Mmekaa mnaandika ufala tu
Anyway, mimi bwana nilikutana na kazi moja hivi ilikaa juu ikaride ikaride halafu ikawa inashuka fasta ila siyo hadi chini inakua usawa wa kichwa tu ila haraka mno.
Halafu ghafla akatoka nikajikuta nimemdaka kumrudisha huku napiga kelele. Hii ilitokea Makumbusho hapo Talanta
ππππΏAposto kuna ushuhuda huku