Tukio la ajabu Kwa Mtogole linaninyima usingizi

Mkuu, ukiwa unajua Siri nyingi za huo upande inasemwa lazima wajitahidi wakuzime kama kibatariii vipi upande wako hukupataga CHANGAMOTO zozotee ilipo amua kuachana na ulozii
Niko kwenye mikono salama ya wokovu.. Wigo mnene wa damu takatifu isiyo na mawaa ya Yesu Kristo inaninda vilivyo mkuuπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Mtaalamu wa vilingeni kama hilo limekuwa gumu kwako kutambua, je sisi akinakadhalika kweli tutalielewa?
 
Ile picha yao ilisambaa sana
Mimi nimewashuhudia kwa macho kabisa mbuzi ana behave kama mtu kabisa..

Wanajichunga hawavuki kwa mapepe ni watulivu na wapo very humble na Wanajiamini sana sanaa nikashituka kwa kweriiiii
 
Niko kwenye mikono salama ya wokovu.. Wigo mnene wa damu takatifu isiyo na mawaa ya Yesu Kristo inaninda vilivyo mkuuπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
Yesu kristo ndie bwana na mwokozi wa maisha yetu πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―
 
Ndio kazi unayoiweza siyo siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…