Tukio la ajabu Kwa Mtogole linaninyima usingizi

How did it start? Ningependa kujua maana nasikia dogo amenunua matunguli. Anajisifia sana watu wanamkoma. Kwenye huo ulimwengu usiojulikana πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Sudden salvation! Dogo gani huyo
 
usishangae unawezakuta hivyo vitu vyote ulikuwa unavioona peke yako na mpaka muda huu hakuna madhara kwasababu na wewe ni mkubwa kimila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…