Tukio La Ajabu

Kuna maswali mazuri tu humo ndani.... Ama majibu kwa asilimia 98 wameshatoa wao wenyewe, hapa wanatupa taarifa tu.

Nakumbuka kuna issue ya Ngorongoro humu JF inafanana na hii...
 
Dont mention about severe, hili ni tatizo. Hizi tuhuma ni nzito zinahitaji serikali isizipuuzie. Kazi kwenu sirikali na wana JF kwani mnamchango mkubwa katika kutoa msukumo wa suala hili.
 
shy

....thanks for the inf...........wahusika inabidi wawajibike tu lakini ndi ohivyo mambo haya huwa yanafunikwa chini ya uvungu.............JF tutaendelea kuyatoa uvunguni

Kuna issue moja pia kama hiyo.....ilihusu Dolphins kibao walikufa na kupatikana pembezoni mwa ufukwe wetu......wakasema wanachunguza......well we never...............oooh no at least i never saw hatima ya uchunguzi kuhusu nini kiliwafika wale Dolphins
 
Hilo la Dolphins linahusu ujio wa Bush...


....mkuu kibunango,

je ndio anakuja ku-settle the bill......kutokana na nuclear tests alizofanya au nimekuelewa visivyo?

hii department ya maliasili inahitaji re-structuring ya hali ya juu...........au ndio sababu ya kumpa Wizara mpya Magufuli??...im trying to connect the dots

Sasa hii tena tarifa ya mbwa kufa kiajabu ajabu na yenyewe..............sijui ndio wataanza ku-fabricate sababu baada ya JF kuifukua hiyo issue ya mbwa!!!........anyway tuendelee kuwashupalia hawa waserikali ili wawajibike
 
Nilitegemea kuwa Bush akija Bongo pamoja na mambo mengine atatutaka radhi kwa kusababisha vifo vya Dolphins 400. Ingawa hadi leo, sio SMZ wala Chuo Kikuu cha Dar kutoa taarifa za uchunguzi wao kama walivyodai yapata miaka miwili sasa. Wanasayansi wengi wamehusisha vifo hivyo na matumizi ya kijeshi ya Sonar.

Huko kwao US na hasa katika jimbo la Califonia serikali ya Bush imeburuzwa mahakamani kutokana na mazoezi ya kijeshi ambayo hutumia Sonar.

Wamarekani wao wanakili kabisa kuhusika na vifo hivyo...

Hapa wanaweka wazi kuhusika kwao...

Zaidi cheki hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…