Tukio la binti kutendewa ukatili na wanaodaiwa kuwa ni askari, linanikumbusha kifo tatanishi cha mtoto wangu. Hatua zichukuliwe, binti apate haki yake

Hii nchi kuna vitu viwili unatakiwa kumiliki ukikosa kimoja kama umekosa pesa miliki uchawi ukikosa uchawi miliki pesa utaheshimika tu
 
Huo ni udhanifu (idealistic). Hatupaswi kuishi kwa dhahania - ndiyo maana Sheria zipo. Sheria hairuhusu alokupiga kofi Mkono wa kushoto umpe na Mkono wa kulia.
 
Hi nchi ukiona umekwaruzana na mtu mwenye mamlaka, we tumia njia za asili tu hizi sheria sheria wanazipindisha na kulindana sana.
 
Huwa nawaambia watu, kama tu kuingia jeshini ni Hadi utoe pesa, basi baada ya miaka Ishirini ijayo tusije kuanza kutafuta mchawi.
 
Watu Waovu na Wahalifu hawataweza kujiwajibisha wao wenyewe, ni lazima Watu wengine wawawajibishe kwa shuruti.
 
Umeongea vizuri sanaaaaaaaa; lakini hugeandika yote haya; Summary: WEAK PRESIDENT, CORRUPT GOVERNMENT, BANANA REPUBLIC; full Stop. The Head Of State is responsible directly.
Huyo mtu unamlaumu bure tu, tatizo kubwa katika nchi hii limeanzia kwetu sisi Wananchi, tatizo siyo Rais wa nchi peke yake wala siyo Serikali yake anayoongoza, Bali tatizo ni Wananchi.

Wananchi wakiujua wajibu wao wa kuisimamia Serikali yao na hata Serikali nayo itatekeleza wajibu wake wa kuwahudumia Wananchi.

Ni suala la Wajibu na Haki.
 

Attachments

  • 5781825-51775523b226d8414338068b2d50cfec.mp4
    3 MB
Siyo habari nzuri ila ukweli ndo huuu HAPA TANZANIA TARIFA AMBAYO NINA UHAKIKA ITAFANYIWA KAZI WITHIN 24 hrs IKIWA TU UTAISEMA VIBAYA SERIKALI ,VIONGOZI WAKE NA UTENDAJI WAO MBOVU ila vitu senstive vinavyo husu jamii ni ngumu sana sana sana hapo utasikia MAMA AMETOA POLE KWA MHANGA alafu ndo imeisha hiyooo ….😭😭😭 so sad
 
Hapa kuna watu wanajibu bila ya kuona hasa nini kilitokea kwenye hiyo video,wanajibu kwa hisia,na wengine wanajibu kwakuwa wameona hiyo video.Kama umeiona nina uhakika unaweza kusema ni tukio la kubakwa au ilikuwa ni makubaliano,kwakuwa dunia ya sasa wako wanawake kwa hiari yao wenyewe wanakubali kutembea na mwanaume zaidi ya mmoja kwa hiari yake mwenyewe,ila kwa wewe mwenzagu mimi hapo ambaye hujaona utajibu tu kwa mihemko kile unachohisi.Nadhani Polisi ndio watatuletea uhalisia hasa wa nini kilitokea,ninachokiona hapo kibaya zaidi ni kuchukua video na kuisambaza...
 
Hakuna binti pale, yule ni malaya.
Mengine mnaweka siasa tu
Hata kama ni malaya bado nae ana haki zake kama wwe ulivyo na haki yakulindwa na vyombo vya dola!!
 
INCH INAELEKEA KUWA NCHI YA SODOMA NA GOMORRAH

ova
 
Kuna mambo ya kumwachia Mungu lakini mengine siyo aisee. Huyu binti kama ni binti yangu aisee hao mambwa wangekufa wote mmoja baada ya mwingine tena ikibidi na familia zao. Nao si wana watoto ama? Haijalishi kama ni makomandoo huko jeshini ama nini wangekufa wooote wallahi! Yaani kuwaua ndiyo ingegeuka na kuwa kusudi langu pekee lililonileta hapa duniani!
 
Mwambie asisumbukie yajayo atazame ndege angani jinsi walivyo na furaha, lakini hawapandi na hawavuni. Akiweza hilo arudi kukushauri.
 
Nakumbuka huu uzi kuhusu binti kufia shule, iliniumaa mnooo.
Poleee sana, [emoji22][emoji22][emoji22]
 
Mama mpendwa Dkt.Gwajima nakuamini sana hapana shaka ufalifuatiliia hili. Pole sana mdau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…