Tukio la binti kutendewa ukatili na wanaodaiwa kuwa ni askari, linanikumbusha kifo tatanishi cha mtoto wangu. Hatua zichukuliwe, binti apate haki yake

Acha hadithi za WAKOLONI ndugu,hayo walituletea ili tu watunyang'anye utajiri wetu pasipo kupata upinzani.
 
S
So sad,pole sana mkuu inatia hasira sana.
 
Imefikia hatua tz vyombo vya dola ndio vinavotumika kuua na kufanyia ukatili kwa raia inasikitisha mwisho watanzania watachoka nchi itaingia kwenye machafuko
Kila siku nasema humu, bila machafuko yaani factory reset kwa nchi hii, tusitegemee utawala wa sheria kuuma pote. Sana sana waovu wenye madaraka wataendelea kufanya chochote bila mkono wa sheria kuwagusa.
 
Hakuna binti pale, yule ni malaya.
Mengine mnaweka siasa tu
Kila nikutana na wewe natamanigi nikutie kidore Cha pua alafu useme ulisema haya ukiwa na akili timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…