Tukio la Binti wa Yombo wasanii, viongozi, watu wa dini na wanamichezo walilaani vikali, ila kwa matukio ya utekaji na mauaji wapo kimya

Tukio la Binti wa Yombo wasanii, viongozi, watu wa dini na wanamichezo walilaani vikali, ila kwa matukio ya utekaji na mauaji wapo kimya

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,264
Reaction score
27,132
Aisee inaumiza sana waandishi wa habari kazi kusifia, kusujudu, kukosoa mwatukio yanayoendelea hawajishugulishi.

Hatuoni hata kupost kukemea ila hii ya safari hii imekuwa kubwa sana

Serikali ijiangalie; mm sio mtu wa siasa wala nn ila kwa yanayoendelea hapa nchini kuna kitu kinasukwa tena kibaya hii nchi ni yetu wpte halafu watanzania tuache uchawa na ujinga mwenzenu anabebwa tena kwenye basi hata kuhojo dah.
 
Lile tukioilikua na video sema mungu muacheni aitwe yule jamaa alirekodi ile video akaenda uza simu video kaziacha kwenye empty bin watu wakaruka nazo hewani daaah life hili sio poa mie nasema asije tokea sijui ndugu wa nandy, cjui diamond au harmonize katekwa tena ntasema wamkate mbupu au kinena huko huko kwa watekaj
 
ikija kutokea siku ndugu wa hawa wasanii kimepata kitu kama hiko nitafurahi sana maana wasanii wamekua n makada badala ya kuwa kioo cha jamii wao kuangalia pesa halafu wanajisahau
 
laana iwapate wote wanaoshiriki kwenye haya mauaji wao na vizazi vyao
 
Kuna yule dereva wa Mtei sijui, aliyepigwa nyundo ya kichwa halafu watu wanarekodi video tu ili waposti.
 
tatzo ushahidi mzee, watu wangeone video atatekwa kweli wangepaza sauti ila sahv wanasubir mamlaka ndio zitoe neno kwanza
 
Lile tukio alikuwa na maslai Kwa rais na chama chake ndio mana nao waliungana na jamii kukemea.
Lakini hili la Leo la mzee wa watu na hayo ya upinzani kinasoka na wenzie kutweka na kuuwawa Yana maslai kwake na chama chake ndio mana anapika kimia.
Hipo siku atatekwa wanu tu mungu wetu sote
 
huyo binti ni kielelezo tosha cha mmomonyoko wa maadili katika jamii yetu.
Kila mahali kumeoza, hakuna wa kumkemea mwengine.
 
aisee inaumiza sana waandish wa habari kazi kusifia ,kusujudu ,kukosoa mwatukio yanayoendelea hawajishugulish hatuon hata kupost kukemea ila hii ya safari hii imekuwa kubwa sana serikali ijiangalie mm sio mtu wa siasa wala nn ila kwa yanayoendelea hapa nchini kuna kitu kinasukwa tena kibaya hii nchi ni yetu wpte halafu watanzania tuache uchawa na ujinga mwenzenu anabebwa tena kwenye basi hata kuhojo dah qmmke
Mwenye nchi katoa tamko, nao wataanza kujitokeza na hash tag zao. Wanufaika lazima watembee na upepo.
 
tatzo ushahidi mzee, watu wangeone video atatekwa kweli wangepaza sauti ila sahv wanasubir mamlaka ndio zitoe neno kwanza
yaani baada ya mh raisi kutoa pole na kutaka uchunguzi ndo unaona wasanii wanapaza sauti dah tena wengne wa hiphop kabsa 🥲🥲
 
Mwenye nchi katoa tamko, nao wataanza kujitokeza na hash tag zao. Wanufaika lazima watembee na upepo.
tena wengine ni wana hiphop kabsa aisee sioendi siasa wala kufatilia mambo ya siasa ila kwa hili la sasa hv nimewachukia sana hawa watu
 
Back
Top Bottom