fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
ikija kutokea siku ndugu wa hawa wasanii kimepata kitu kama hiko nitafurahi sana maana wasanii wamekua n makada badala ya kuwa kioo cha jamii wao kuangalia pesa halafu wanajisahauLile tukioilikua na video sema mungu muacheni aitwe yule jamaa alirekodi ile video akaenda uza simu video kaziacha kwenye empty bin watu wakaruka nazo hewani daaah life hili sio poa mie nasema asije tokea sijui ndugu wa nandy, cjui diamond au harmonize katekwa tena ntasema wamkate mbupu au kinena huko huko kwa watekaj
kuna vitu vingne vinashangaza sana hapa nchini mwetuKuna yule dereva wa Mtei sijui, aliyepigwa nyundo ya kichwa halafu watu wanarekodi video tu ili waposti.
Mwenye nchi katoa tamko, nao wataanza kujitokeza na hash tag zao. Wanufaika lazima watembee na upepo.aisee inaumiza sana waandish wa habari kazi kusifia ,kusujudu ,kukosoa mwatukio yanayoendelea hawajishugulish hatuon hata kupost kukemea ila hii ya safari hii imekuwa kubwa sana serikali ijiangalie mm sio mtu wa siasa wala nn ila kwa yanayoendelea hapa nchini kuna kitu kinasukwa tena kibaya hii nchi ni yetu wpte halafu watanzania tuache uchawa na ujinga mwenzenu anabebwa tena kwenye basi hata kuhojo dah qmmke
yaani baada ya mh raisi kutoa pole na kutaka uchunguzi ndo unaona wasanii wanapaza sauti dah tena wengne wa hiphop kabsa 🥲🥲tatzo ushahidi mzee, watu wangeone video atatekwa kweli wangepaza sauti ila sahv wanasubir mamlaka ndio zitoe neno kwanza
tena wengine ni wana hiphop kabsa aisee sioendi siasa wala kufatilia mambo ya siasa ila kwa hili la sasa hv nimewachukia sana hawa watuMwenye nchi katoa tamko, nao wataanza kujitokeza na hash tag zao. Wanufaika lazima watembee na upepo.