Tukio la Jana Lisigeuze Mgawanyiko

Inashangaza sana watu kumzomea waziri hii inaleta picha mbaya mno....dully Sykes nae ametaja Jina makonda tu watu wakaanza kuzomea
 
Huo ndiyo msingi wa taifa lenye ustaarabu umoja na maendeleo ya kudumu
Inachosha sana kusoma maandishi ya mtu ambaye hana uwezo wa kueleza anasimamia wapi katika anachokiamini. Badala yake anazunguka kila mahali kuficha lengo halisi linalompa msukumo.

Yale yale ya Samia na Genge zima; kutumia maneno wakati matendo yanaelekea kwingine.

Hovyo kabisa.
 
Maoni Yako na yaheshimiwe,ila angetamka free Tundu lissu ukumbi ungelipuka Kwa shangwe na Nderemo!Kwa busara hizi ulizotoa hapa washauri jamaa huko pia .
 
Wananchi pigen machawa yote yakileta uchoko kwenye mambo ya msingi
 
 
Je vipi la oct 29 na lakujipa 98% je unajua ndiyo limeleta mgawanyiko uusemao?
 
Msilete tena siasa kwenye mambo kama hayo, mna vikundi vyenu pelekeni siasa zenu huko
 
Msilete tena siasa kwenye mambo kama hayo, mna vikundi vyenu pelekeni siasa zenu huko
 
Msilete tena siasa kwenye mambo kama hayo, mna vikundi vyenu pelekeni siasa zenu huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…