Tukio la Jana Lisigeuze Mgawanyiko

Binti mumeo akikupa talaka utasema amekupa likizo?

Punguza kujifariji .
 
pumba ++
Mithali 22:8: "Yeye apandaye uovu atavuna msiba..."
 
"Kwanza nitoe pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Mwana FA kwa utulivu na ustaarabu aliouonyesha", vinginevyo angepigana na waliomzomea! Kwanini machawa mnapenda kujitoa akili? Majukwaa ya burudani CCM isiyageuze kuwa ni yake kuonesha jinsi inavyopendwa, ifanye mikutano yake ibebe vijana walevi wa vicuka na visungura kwa kuwapa vijisenti na itashangiliwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…