Tukio la kibanda cha mlinzi kujengwa kwa milioni 11, ni ishara kwamba viongozi wa wilaya na mkoa wamezembea au walijua

Mzalendo120

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
2,410
Habari zenu wanajukwaa.

Pia soma > Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

Suala lililoshika kasi sana jana tarehe 08/09/22 ni sakata la kibanda cha mlinzi huko Uyui mkoani Tabora kugharimu milioni 11 za kitanzania

Katika hali isiyo ya kawaida eti mkuu wa mkoa nae anakua mkali kuhoji. Sasa anahoji nini wakati alitakiwa ahojiwe? Hapo balozi Batilda amepwaya na aibu kubwa sana kwake. Hii inatoa taswira kwamba viongozi wote waliohusika niwazembe au wamegawana fedha hizo za tozo

Hii ni aibu kwa mkuu wa mkoa kwenda na waziri mkuu kwenye mradi ambao yeye hajawahi hata kujua gharama ya mradi hata wa kibandatu cha mlinzi!!! Aibu kubwa sana kwa mkuu wa mkoa wa Tabora

Kama ambavyo waziri mkuu ametoa maelekezo kwa TAKUKURU kufanya uchunguzi inabidi waanze na mkuu wa mkoa na wasaidizi wake kwenye masuala ya ujenzi ndio itapatikana picha kamili.

Ingekuwa kuna uwajibikaji wa dhahiri,mkuu wa mkoa na timu yake wangepisha uchunguzi

Haiwezekani tozo zikaliwa kizembe kiasi hicho
 
Mtamwonea mkuu wa wilaya/mkoa,wahusika ni kamati ya ujenzi, engineer wa wilaya na afisa masoko wa wilaya.
 
Kwani v 8 la mkuu wa mkoa mbona lina gharama kuliko hata hicho kibanda
Naona kama hoja haihusiani na ubadhirifu.
Kama tungelinganisha V8 bovu na hicho kibanda ndio mjadala ungenoga mkuu
 
Habari zenu wanajukwaa.

Suala lililoshika kasi sana jana tarehe 08/09/22 ni sakata la kibanda cha mlinzi huko Uyui mkoani Tabora kugharimu milioni 11 za kitanzania

Katika hali isiyo ya kawaida eti mkuu wa mkoa nae anakua mkali kuhoji. Sasa anahoji nini wakati alitakiwa ahojiwe? Hapo balozi Batilda amepwaya na aibu kubwa sana kwake. Hii inatoa taswira kwamba viongozi wote waliohusika niwazembe au wamegawana fedha hizo za tozo

Hii ni aibu kwa mkuu wa mkoa kwenda na waziri mkuu kwenye mradi ambao yeye hajawahi hata kujua gharama ya mradi hata wa kibandatu cha mlinzi!!! Aibu kubwa sana kwa mkuu wa mkoa wa Tabora

Kama ambavyo waziri mkuu ametoa maelekezo kwa TAKUKURU kufanya uchunguzi inabidi waanze na mkuu wa mkoa na wasaidizi wake kwenye masuala ya ujenzi ndio itapatikana picha kamili.

Ingekua kuna uwajibikaji wa dhahiri,mkuu wa mkoa na timu yake wangepisha uchunguzi

Haiwezekani tozo zikaliwa kizembe kiasi hicho
 
Attachments

  • BF06D0DE-CE50-42FB-A043-98BCD511BB5B.jpeg
    BF06D0DE-CE50-42FB-A043-98BCD511BB5B.jpeg
    29.7 KB · Views: 4
Naona kama hoja haihusiani na ubadhirifu.
Kama tungelinganisha V8 bovu na hicho kibanda ndio mjadala ungenoga mkuu
Vyote ni ubadhirifu tu hakuna dhambi ndogo.Hio gharama tu ya mafuta kwa msafara wote uliokwenda kutazama ubadhirifu si chini ya milioni 6.
 
Sawa mkuu nimekupata.
Hapo nimegundua kuna ubadhirifu na wizi wa mali ya umma.
Asante kwa kuchangia mada
 
Habari zenu wanajukwaa.

Suala lililoshika kasi sana jana tarehe 08/09/22 ni sakata la kibanda cha mlinzi huko Uyui mkoani Tabora kugharimu milioni 11 za kitanzania

Katika hali isiyo ya kawaida eti mkuu wa mkoa nae anakua mkali kuhoji. Sasa anahoji nini wakati alitakiwa ahojiwe? Hapo balozi Batilda amepwaya na aibu kubwa sana kwake. Hii inatoa taswira kwamba viongozi wote waliohusika niwazembe au wamegawana fedha hizo za tozo

Hii ni aibu kwa mkuu wa mkoa kwenda na waziri mkuu kwenye mradi ambao yeye hajawahi hata kujua gharama ya mradi hata wa kibandatu cha mlinzi!!! Aibu kubwa sana kwa mkuu wa mkoa wa Tabora

Kama ambavyo waziri mkuu ametoa maelekezo kwa TAKUKURU kufanya uchunguzi inabidi waanze na mkuu wa mkoa na wasaidizi wake kwenye masuala ya ujenzi ndio itapatikana picha kamili.

Ingekua kuna uwajibikaji wa dhahiri,mkuu wa mkoa na timu yake wangepisha uchunguzi

Haiwezekani tozo zikaliwa kizembe kiasi hicho
Mkandarasi amejitahidi sana. Kwa kile kibanda inazidi mil 11. Ukumbuke hapo kwenye mil 11 kuna kama 1.6mil ya VAT.

Watu wanapelekeshwa tu kama kasuku. Lakini kile kibanda kitazidi hiyo bei ya mil 11. Tuache ushabiki
 
Hivi mkuu ushawahi kujenga au ilimradi na wewe umechangia mada?
 
Back
Top Bottom