Haukuwa mpango madhubuti saaaaana wa kikachero na kimafioso, waliwakamata D'Salaam, next thing wakaonekana kwenye jela Unguja halafu wakachukuliwa usiku usiku hawakuonekana tena.
Wafanyakazi wastaafu wa jela za Karume ndio walikuja baadae kuonyesha walipopigwa risasi na walipofukiwa.
Hawa ndio maswaiba wa kufa na kuzikana ambao Karume alianza nao serikali.
Half of them wound up missing, jailed, tossed in the ocean and dead in the water.