Tukio la Kifo Cha Wanafunzi Shule Moja Huko Kenya Baada Ya Kuwekewa Sumu Na Mama Wa Kambo Wa Mwanafunzi Mmojawapo

Tukio la Kifo Cha Wanafunzi Shule Moja Huko Kenya Baada Ya Kuwekewa Sumu Na Mama Wa Kambo Wa Mwanafunzi Mmojawapo

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Kuna tukio Inasemekana limetokea nchini Kenya la watoto wa class moja kufariki. Kisa walikuwa wakisheherekea birthday na iyo keki ililetwa na mzazi na uyo mzazi hakuwa mama wa kuzaa wa yule mtoto
.....
So ni kama chuki mume ameleta mtoto kwa nyumba. So siku ya birthday akapeleka keki shule then wale watoto wote waliokula wakafariki including yule wa mume wake.
.....
Nadhani ni fundisho pia. Kwetu mashuleni. Vitu vinavyotoka nyumbani kama keki soda sijui pipi tusiviintertain shule kisa birthday.
 
Tusi entertain watu kuweka sumu kwenye vyakula vya watoto....lakini kusema kumzuia mtoto shule akienda nini wle nini asile kama ni ngumu zaidi
 
Ubinadamu kazi sana, nashindwa sijui nimuweke kwenye kundi lipi huyo bimaza
 
Back
Top Bottom