Hakunaga Muhindi anayefanya kazi kwa hasara. Wengine hatakujenga tu nyumba ya kuishi kwao wanaona hasaraIla Mo Mungu anakuona hakika
Majira ya saa nne asubuhi Serana Hotel, klabu ya Yanga kwa kushirikiana na Azam Media watakuwa na tukio kubwa
Yanga inakwenda kupiga hatua moja muhimu katika mwelekeo ambao kila mmoja alikuwa akiutaka
Wananchi wanatarajiwa kuwa klabu ya kwanza nchini kumiliki chaneli yake na sio kipindi cha dakika 30! kama walivyo wengine
Hii ni hatua moja muhimu ambayo Yanga inakwenda kupiga