Tukio la kumkatisha msoma report ya mwenge asiendelee kueleza madudu ya miradi si sawa na Raisi aliangalia tu

Tukio la kumkatisha msoma report ya mwenge asiendelee kueleza madudu ya miradi si sawa na Raisi aliangalia tu

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Niseme tu kwa kipindi cha Jpm sidhani kama angekubaliana na situation ile ila huyu Mama hata sielewi uongozi wake,moja ya madudu kumbe kwenye mashule ndio wahandisi wa majengo ????
...
 
Mama hapendi uchongqnishi na ugombanishi kupitia majungu yakiyoambatanishwa kwenye risala ama ripoti.

Kama kuna madudu mahakama hamzioni?
 
Rais ameshawataka TAKUKURU na ZAECA wafanyie uchunguzi hayo madai.
 
Back
Top Bottom