MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,104 Reaction score 6,827 Oct 14, 2022 #1 Niseme tu kwa kipindi cha Jpm sidhani kama angekubaliana na situation ile ila huyu Mama hata sielewi uongozi wake,moja ya madudu kumbe kwenye mashule ndio wahandisi wa majengo ???? ...
Niseme tu kwa kipindi cha Jpm sidhani kama angekubaliana na situation ile ila huyu Mama hata sielewi uongozi wake,moja ya madudu kumbe kwenye mashule ndio wahandisi wa majengo ???? ...
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Oct 14, 2022 #2 Mama hapendi uchongqnishi na ugombanishi kupitia majungu yakiyoambatanishwa kwenye risala ama ripoti. Kama kuna madudu mahakama hamzioni?
Mama hapendi uchongqnishi na ugombanishi kupitia majungu yakiyoambatanishwa kwenye risala ama ripoti. Kama kuna madudu mahakama hamzioni?
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Oct 14, 2022 #3 Rais ameshawataka TAKUKURU na ZAECA wafanyie uchunguzi hayo madai.