Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Watu wa bongo movie sjui wanakwama wapi hii story kuhusu Nairoto Forest ni bonge moja la Movie kama watakua serious na hii ya Nyumbanitu inaonekana kabisa kama watajipanga wanaeza kutoa movie ambayo inaeza ikawa Nominated ktk Oscar Awards

heri wasifanye kwanza hadi tuwe na uhakika wa kufanya mambo...wataharibu tu
 
Watu wa bongo movie sjui wanakwama wapi hii story kuhusu Nairoto Forest ni bonge moja la Movie kama watakua serious na hii ya Nyumbanitu inaonekana kabisa kama watajipanga wanaeza kutoa movie ambayo inaeza ikawa Nominated ktk Oscar Awards

Vifaa vya kutengeneza story kama hiyo wanayo [emoji16][emoji16][emoji1787] mpaka watu iwavutie kutizama...
Movie kama hiyo inahitaji pesa nyingi mpaka ivutie watu sio vi camera hivi vyao vya ku shootia harusini
 
mwamba pamoja lete vitu mkuu
 
👍
👍
 
🤣🤣
 
Aiseee
 
Pale chita kambini morogogoro kuna mwamba mmoja ambao chini yake kuna milango mitatu ambayo imefungwa na makufuli fulani sio ya sayari hii. Naskia walishajaribu kugonga hadi grenade lakini wapi. Inasemekana mle ndani kuna mali
Mkuu nkionaga hilo jina Chita nakumbuka mbali sana. Sina uhakika kama kuna kambi ya jakata ina fatiki kama 837 KJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…