Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
πSasa mnamchosha..
Mnataka kumfanya kama mtu hana maisha mengine au kazi za kufanya kazi yake iwe kuandika tu !
Mkuu Angusha mambo aisee, ila hata mm hizo habari za huu msitu nishasikia na kuna uzi humu wa maajabu kama sikosei wadau walitiririka sana habari za huu msituBaada ya kubembelezwa saaaana huko DM kwa kutumiwa hadi wadada kuniahidi tunu basi nimebadili mawazo sasa nitasimulia habari ya safari yetu ya kutafuta mali (RUPIA) humo msitu wa NYUMBANITU
(achaneni na utani wa hapo juu) sasa twende taratibu,matukio mengi nitafupisha tu kufanya story kueleweka
Kwa wasiojua...Nyumbanitu iko Njombe wilaya ya wangingβombe kuna mahala panaitwa Mdandu huko,ni msitu wenye habari za kutisha sana wenyeji wa huko hakuna sehemu wanapaheshimu kama hapo
Huu msitu cha kwanza uko na wanyama wasio wa kawaida kabisa na wanapatikana huko tu,kuna kuku fulani weusi tiii na midomo myekundu,hawa wanaishi humo na hakuna anayewahudumia kwa chakula wala matunzo...pia kuna ngβombe n.k wote hawa ni kwa ajili ya matambiko ya makabila mbalimbali ya mkoa wa Njombe,zamani ikiwa wilaya ya Iringa,,haswa wabena na wakinga.
Kuna ukoo kule unaitwa wa akina Mkongwa,hawa ndio wamiliki halisi wa huo msitu na inasemekana wao wakifa huwa wanageuka kuwa nyoka na wanaishi huko kwenye huo msitu...kwa waliofika kutalii kuna wazee wako nje huwa wanatoa maelekezo ya namna ya kuingia humo na mila za humo,kama una roho nyepesi unaweza ishia tu kufika mlangoni ukarudi zako ulikotoka...unapigwa mkwara mlangoni na moja kati ya issue unapaswa kujipanga ni kwamba kama mwanamke usiende ukiwa kwenye HEDHI sababu mizimu humo ikisikia tu harufu ya damu wote mlioongozana na huyo mnapotea na hamuwezi onekana hadi wazee wa mila wafanye yao...
achana na hayo...
kilichotutia tamaa sisi kuhusu humo ndani ni story za uwepo wa RUPIA za mjerumani bwanaaa...na hakika zipo na zilikuepo,tulichogundua wale wazungu washenzi sana,hii ya kujenga hofu watu wasiende humo kwa kujiamini ndio imefanikiwa kuziacha mali zao salama mule msituni...wazungu akili nyingi sana,humo wamepandikiza uchawi mkali sana na unalindwa na hao wazee wa mila bila wao kujua wanalinda mali za watu....
ilikua 2001 mwezi wa 12 sasa tukiwa na jamaa zangu tukapanga mkakati wa kuingia mule bila kufata sheria zao za kichawi...maana ukifata protocal kuna maeneo huruhusiwi kufika na ndio inasemekana yana mali
kuna mapango makubwa inasemekana yakitumika wakati wa vita...kwa story tulizopata ni kwamba hizi mali zimefichwa kwenye masanduku makubwa yananingβinia kwenye mapango/mahandaki yaliyoko ndani kabisaaaa wanakosemaga ndio anakaa mzee mwenye msitu,ingawa kikweli huko sababu ya giza na kutisha basi kumekua makazi salama ya nyoka wakubwa wa kila aina na hao kuku wa kichawi ndio chakula chao...
tukiwa tumejipanga,plan ilikua ni kazi ya usiku mmoja tu tunamaliza tunarudi na mali na utajiri wetu...kulikua na habari kwamba soko ya rupia ni uhakika...
nikirudi naanzia sasa kwenye safari yenyewe kuingia msituni nyumbanitu
..........
Ndio maana mimi husoma comments zoteMkuu,na.Mbongo kupigwa shoka na Mrundi ilikuwa 2015 ?
Maana ulipotea hapa kwa excuse ya kuwa Hospital kwa Mwana
[emoji28][emoji28] vp kaka tizi liligoma kwenda sawa na mwili?Jamaa alivyotoroka kambini wenzake kanikumbusha nilivyotoroka jeshini usiku Wa SAA saba na nusu nikipitia maporini yenye wanyama Wa kila aina ila nashukuru Mungu alikuwa upande Wangu nilitoboa nikafika home salama Sikh ya pili yake.
mkuu kila la kheri angalia duara likijikopa lisilale na wewe mbele.....mambo yakiwa mabaya jifiche kwenye fonka....huko mkiwa mnashuka chini mnavaa koboko?!....na ukitaka kumsemesha mtu aliyeko duarani unamwambia "hapo chini, achama!!!!" au?!..
usisahau kupiga sample kabla hujafanya maamuzi na mwisho uwe makini na matufe ukihila ni bahati yako.....ukichumera au ukiporora ndo maisha.....ukienda maluja angalia kulia na kushoto kwanza ...
kila la kheri murah...
πWatt wa kishua hao matifu ya kijesh hawayawezi wameshazoea kudekezwa na dady na mamy hata ukimpiga na ukubwa wake wanaenda kukusemea kwa mummyyy
ayaaaaah daaah kutamanishana huko sio vizuri mkuu......huko hawaleti uhuni kwenye kuosha na kukamatisha?!...angalia wasifiche ndoo za mahomeka kwenye filter na mkamatishaji asifanye mazuri wenye mwalo hawaweki glycerine kwenye mercury?!....usinisahau kamgao hata ka soda hahah...
Sifa ni kulima tu mzee, ndio maana wakush tukawa tunashinda maeneo ya Land tunakunywa kisegese tuMkuu nkionaga hilo jina Chita nakumbuka mbali sana. Sina uhakika kama kuna kambi ya jakata ina fatiki kama 837 KJ
Hv Yale mamilango ndo Yale yanayoonekana pale kambini hata ukiwa huku barabarani?huwa naona Kuna milango mfano wa mapango hv.Pale chita kambini morogogoro kuna mwamba mmoja ambao chini yake kuna milango mitatu ambayo imefungwa na makufuli fulani sio ya sayari hii. Naskia walishajaribu kugonga hadi grenade lakini wapi. Inasemekana mle ndani kuna mali
Heri muungurumo wa simba kuliko tukutane2na mnyama koboko, inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana hii kazinimejistaafisha kwa lazima aisee.....naona nipumzike nifanye mambo mengine vinginevyo kazi itakuwa kuzunguka maporini tu na kuhatarisha uhai......huko tabora kupishana na koboko na usiku kuskia muungurumo wa simba dah hatariii...
Wamisunjo alikua ni muuni wa bachu. RIPAlale pema mwanetu Wamisunjo aaamin....
Ndio hayo mkuuHv Yale mamilango ndo Yale yanayoonekana pale kambini hata ukiwa huku barabarani?huwa naona Kuna milango mfano wa mapango hv.
Looh....Mkuu huko sikuiona vision yangu baada ya kuhitimu jkt nilitakiwa niingie tma nibebe 2stars hotels begani. Ila nikaambiwa mpaka nipitie RTS kwanza na huku wapo walioenda huko bila ya RTS na kumbuka wapo wanaotoka uraiani na kuzama huko direct tma bila ya majakata.
So nikaona sio Ishi life is not all about being in military. Pia ile lifestyle yao sikuipenda.
Ila mafunzo niliyapenda sana hata wanangu nitawapeleka wapate mafunzo ila sio kuwa wanajeshi. Sishauri
π[emoji28][emoji28] vp kaka tizi liligoma kwenda sawa na mwili?
πSifa ni kulima tu mzee, ndio maana wakush tukawa tunashinda maeneo ya Land tunakunywa kisegese tu