Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Nakufatilia kwa ukaribu mkuu
 
Wakuu mie naona kma vile nimepitwa!!! Hebu nisaidieni, Story kwenye huu uzi mmekuwa na story ngapi na wastorishaji wangapi? Mana kila nikijaribu kwenda pale nilipopaacha naona sifiki naona uzi umeenda mbio mbio
relax and enjoy ,humu kumekuwa mtaa wa mastory
kama una yako we unga humu humu,mi nitakuwa fan wako
 
Wakuu mie naona kma vile nimepitwa!!! Hebu nisaidieni, Story kwenye huu uzi mmekuwa na story ngapi na wastorishaji wangapi? Mana kila nikijaribu kwenda pale nilipopaacha naona sifiki naona uzi umeenda mbio mbio
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kitoabu, fydell na mbwichichi
Kaanza kitoabu
Kaja fydell japo hajamaliza
Tuko na mbwichichi Sahivi
 
Mkuu kwanza asante kwa kushare nasi pia kwenye hiyo story. 3. Pole kwa ulemavu kukatwa mguu. 3. kweli wanaume tunapitia mengiiii sana I see.

Usiwaone akina Ginimbi wanakufa kwenye miaka 34 akiwa kwenye kilele cha ukwasi,ukadhani ni kawaida. Wote akina Ivan. Yote hayo ni sehemu ya mapambano ya wanaume kumfukuza mdudu umasikini,tuko radhi kuhatarisha maisha yetu.

=>Swali moja mkuu. Kama umesema wale wazee wanatumika na wazungu kulinda zile mali,kwa uchawi. Kwa nini msiwatumie hao wazee kuwalainisha kwa njia yoyote,mpaka wakakubali kufanya yao,kutambika ili kufokoa hizo mali mkuu?

Mwisho hiki unachohadithia nimekisikia hata huko Mbeya maeneo ya Tukuyu eneo moja linaitwa kisiwa. Hilo eneo ni mlimani lakini maji yamejitengeneza kama bwawa kubwa juu kwenye kilima. Yale maji yana kina kirefu,japo watalii wanaogolea hata wageni wa ndani lakini kwa ya wazee walinzi wa kile kisiwa. Kuna watu nasikia wamewahi kufia hapo,wengine ni wazungu. Nasikia kwa chini kabisa kwenye hayo maji kuna mali wazungu walizihifadhi kwenye masanduku makubwa wakati wanaondoka.
 
Keisangora ni hiki kijiji nachokijua mimi cha TRM au ni jina tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…