Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Aisee ..inasisimua sn
 
daah nimevuta picha hata haiji.....shukran kwa kuhadithia mkuu...naifuatilia kwa makini sana..
 
Wahuni sio watu!!
 
Akiendelea Mbwichichi naomba mnitag wakuu
 
Mi mwenyewe nusu nimdondoshe mtoto kwa kucheka ...nimecheka mpaka machozi... Mtu afungue net aingie kitandani kuwafata!!!...hahaa...duh...kwanza milikuwa na moyo mgumu...mi ningezirai
hahahahahahahahaaa mkuu naona umekusudia kunivunja mbavu tena.....yan scene ya huyo kamanda kufunua kwenye neti eti aingie na yeye imenichekesha sana.....halafu nimevuta taswira jamaa alivyomdandia mdogo wake aisee...
 
Ahahaha dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…