Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
story nzuri soma Inaelimisha na kuburudishaNgoja nisome nikisubiria Tume huru
Poa poa naizingatiastory nzuri soma Inaelimisha na kuburudisha
Best of the best,
mimi mvivu kusoma simulizi
Soma page ya kwanza tu, stori ni kalimimi mvivu kusoma simulizi
inahusu nini?Soma page ya kwanza tu, stori ni kali
Ngoja nisome
Mambo ya kutisha tisha kwenye uchimbaji wa madini mozambiqueinahusu nini?
sitoweza, najijuaMambo ya kutisha tisha kwenye uchimbaji wa madini mozambique
😀, haya pole mzeesitoweza, najijua
it a real life experience, Sasa vitabu huwa mna somaje?mimi mvivu kusoma simulizi
sisomi vitabu, labda mara chache sanait a real life experience, Sasa vitabu huwa mna somaje?
ni sawa pia.sisomi vitabu, labda mara chache sana
Uzi mzuri wenye visa vikali vya kuelimisha,kuburudisha na kusisimua ..