Inashangaza kwa kweli. Wema kwa umri wake hata akikutwa anatwezwa na uume hadharani siyo sahihi wazazi kumkaripia. Wema ni ajuza.Ule ni upuuzi mtupu, mtoto wake ameishakuwa, lishangazi, 40yrs, sasa mama yake si mbibi kabisa, mbibi kama Yule, kuingilia maisha ya, MTU mzima mwenye 40+yrs, ni ukichaa, huyu mama may be bado anahitaji bakora! Itakuwa alikuwa mjane mapema sana
Tusifike huku kudharau mama Za watu utajisikiaje ukikuta Mama yako anatukanwa hivi ?Ule ni upuuzi mtupu, mtoto wake ameishakuwa, lishangazi, 40yrs, sasa mama yake si mbibi kabisa, mbibi kama Yule, kuingilia maisha ya, MTU mzima mwenye 40+yrs, ni ukichaa, huyu mama may be bado anahitaji bakora! Itakuwa alikuwa mjane mapema sana
Dc wa ilala.Kwani huyo Wema ndio nani huko Daslam?