Na sio mara ya kwanza, nakumnuka kuna issue ya Mdada fulani pia alihusishwa.Hivi karibu Mwijaku kalizua baada ya video kusambaa ikionyesha watoto wa chuo wakimgombania.
Kwenye malumbano Yao inaonekana mara mwisho Mwijaku alizini na mmoja kati Yao mwanzoni mwa mwezi huu ikiwa ni ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani...
Ikumbukwe ana mke na familia.
Stadi zinaonyesha Kuwa akili au tabia za rafiki zako watano ni akili zako pia.
Yani huna tofauti sana na rafiki zako watano.
Na mwijaku kama tujuavyo ni kipenzi Cha viongozi wakuu wa Serikali pamoja na chama tawala.
Kitendo cha viongozi Wa Serikali kukumbatia watu kama kina Mwijaku kinanipa wasiwasi sana na akili zinazotuongoza.
Viongozi wetu mkumbuke mmeapa kulinda Mila na desturi kwenye Taifa hili hivyo mnahitaji jicho la ziada kuona jinsi gani Serikali INAVYONAJISIWA na na hawa wanaojiita Wasanii au wahamasishaji kwa Kuwa wao ni kioo Cha jamii.
Hii ni balaa kwa kweli.Kwa mujibu wa matakwa ya CCM yani hapo ndio Mwijaku kavuka vyema initiation ceremony. Atapewa vyeo sasa.
CCM inabeba kila aina ya uchafu, ukijua hasa kinachofanywa nyuma ya mapazia utajiuliza mara mbili mbili kama hao wafanyaji ndio washika nyadhifa serikalini.
Acha kiherehere, huyo Mwijaku ndio nani, majina yake anaitwa nani, hakuna mtu anaitwa kwa jina moja, tutajie angalau majina yake matatu na ana nafasi gani serikalini mpk ainajisi serikali. Mtaokoteza kila takataka ila hamwezi kuichafua serikali ya mama yetu Samia. Mwisho wa huu upumbavu wenu Oktoba.Hivi karibu Mwijaku kalizua baada ya video kusambaa ikionyesha watoto wa chuo wakimgombania.
Kwenye malumbano Yao inaonekana mara mwisho Mwijaku alizini na mmoja kati Yao mwanzoni mwa mwezi huu ikiwa ni ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani
Ikumbukwe ana mke na familia.
Stadi zinaonyesha Kuwa akili au tabia za rafiki zako watano ni akili zako pia.
Yani huna tofauti sana na rafiki zako watano.
Na mwijaku kama tujuavyo ni kipenzi Cha viongozi wakuu wa Serikali pamoja na chama tawala.
Kitendo cha viongozi Wa Serikali kukumbatia watu kama kina Mwijaku kinanipa wasiwasi sana na akili zinazotuongoza.
Viongozi wetu mkumbuke mmeapa kulinda Mila na desturi kwenye Taifa hili hivyo mnahitaji jicho la ziada kuona jinsi gani Serikali INAVYONAJISIWA na na hawa wanaojiita Wasanii au wahamasishaji kwa Kuwa wao ni kioo Cha jamii.
Acha kiherehere, huyo Mwijaku ndio nani, majina yake anaitwa nani, hakuna mtu anaitwa kwa jina moja, tutajie angalau majina yake matatu na ana nafasi gani serikalini mpk ainajisi serikali. Mtaokoteza kila takataka ila hamwezi kuichafua serikali ya mama yetu Samia. Mwisho wa huu upumbavu wenu Oktoba.
Na sio mara ya kwanza, nakumnuka kuna issue ya Mdada fulani pia alihusishwa.
Ni aibu kubwa zaidi kwa Taasisi ambazo zinampa kazi kama Balozi wao.ha
Aibu sana kwa kweliNa sio mara ya kwanza, nakumnuka kuna issue ya Mdada fulani pia alihusishwa.
Ni aibu kubwa zaidi kwa Taasisi ambazo zinampa kazi kama Balozi wao.
Ukiwa viunga vya dom utawaona viongz wanavyo wakunguta mabint wa vyuo kwa tamaa zaooMwijaku ni mpuuzi sana ,jitu zima linaenda kuharibu future ya vitoto vya chuo...waache wasome ,huyo mpuuzi inabidi ashikishwe adabu ,afungwe hata miaka miwili kwa ubakaji.
Waswahili wanafki sana. Wanaona alichofanya mwenzao ni ajabu wakati majority ni walewale.Mwanaume yeyote lazima atakuwa na mwanamke nje