Atakaribishwa tena bungeniKwa mujibu wa matakwa ya CCM yani hapo ndio Mwijaku kavuka vyema initiation ceremony. Atapewa vyeo sasa.
CCM inabeba kila aina ya uchafu, ukijua hasa kinachofanywa nyuma ya mapazia utajiuliza mara mbili mbili kama hao wafanyaji ndio washika nyadhifa serikalini.
CCM imetengeneza vijana wa hovyo sana.Kitendo cha viongozi Wa Serikali kukumbatia watu kama kina Mwijaku kinanipa wasiwasi sana na akili zinazotuongoza.
Heshima kubwa kwakoMwanaume yeyote lazima atakuwa na mwanamke nje
Kunjunja ni zambi auHivi karibuni Mwijaku kalizua baada ya video kusambaa ikionyesha watoto wa chuo wakimgombania.
Kwenye malumbano Yao inaonekana mara mwisho Mwijaku alizini na mmoja kati Yao mwanzoni mwa mwezi huu ikiwa ni ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani na mfungo kwaresma pia.
Ikumbukwe ana mke na familia.
Stadi zinaonyesha Kuwa akili au tabia za rafiki zako watano ni akili zako pia.
Yani huna tofauti sana na rafiki zako watano.
Na mwijaku kama tujuavyo ni kipenzi Cha viongozi wakuu wa Serikali pamoja na chama tawala.
Kitendo cha viongozi Wa Serikali kukumbatia watu kama kina Mwijaku kinanipa wasiwasi sana na akili zinazotuongoza.
Viongozi wetu mkumbuke mmeapa kulinda Mila na desturi kwenye Taifa hili hivyo mnahitaji jicho la ziada kuona jinsi gani Serikali INAVYONAJISIWA na na hawa wanaojiita Wasanii au wahamasishaji kwa Kuwa wao ni kioo Cha jamii.
Mwijaku ni mpuuzi sana ,jitu zima linaenda kuharibu future ya vitoto vya chuo...waache wasome ,huyo mpuuzi inabidi ashikishwe adabu ,afungwe hata miaka miwili kwa ubakaji.
yani yeye ndio kaharibu future yao? watoto wa vyuo ni malaya sana, kumsukumizia mzigo Mwajiku ni kumuonea tu
Umasahau kama nchi inaogozwa na wezi wa kura na kodi za umaa. Hao marafiki zake ni wach afu kuliko mwijaku halafu unawataka wakemee uchafu wa mwezao. Yaani unataka jambazi akemee mwizi pikipikiHivi karibuni Mwijaku kalizua baada ya video kusambaa ikionyesha watoto wa chuo wakimgombania.