Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Kusoma hujui hata picha uoni? Jamaa kazungumzia Nyamongo vs Iringa kutrend...akili matope bwana!
Kwamba Iringa hakuna kilichoendelea,ama?!
Wewe ndiye matope. Anasema timing ni muhimu. Baada ya mabomu attention yote imehamia Nyamongo...akili matope bwana!
Kwamba Iringa hakuna kilichoendelea,ama?!
Angekuwa anatosha asingekuwa anajijazia kwa kuwapiga wapinzani wake mabomu.Acheni kulialia, tulieni dawa iwaingie.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Mapolisi wa Nyamongo wanatumika na mabeberu kumchafua magufuli
Sisi tunawachora tu wanavyohangaika.Nikiwaambia watu kwamba Tundu Lissu anaenda Ikulu Kama mchezo mchezo vile hawaelewi.
Yaani mwaka huu kila kitu kimeshakamilika na kupangwa ndio maana wabishi bado tunawacheck tu.
Lissu ndiye Rais wa JMT kuanzia October 2020.
Nyuzi za maccm zina najisi, si vizuri kuzisomaKuna nyuzi iko Live humu ya JohntheBaptist imepostiwa toka asubuhi mpaka saa hii sa kumi na moja kasoro robo ina replies 90 na views 3000 tu. Hii ni dalili mbaya kwa ccm.
Nyuzi iko live
Mmebakiza kutukana njia nzima kama walevi wa gongo....akili matope bwana!
Kwamba Iringa hakuna kilichoendelea,ama?!
Wanafunzi wa shule za chini Wanamehudhuria kwa wingi...akili matope bwana!
Kwamba Iringa hakuna kilichoendelea,ama?!
Raisi alikuwa nyamongoWatu wanafatilia kampeni za JPM Iringa wewe unatuambia habari ya Nyamongo,Nayamongo ndo mdudu gani?