Uchaguzi 2020 Tukio la Nyamongo lilivyozima shughuli ya Iringa

Nikiwaambia watu kwamba Tundu Lissu anaenda Ikulu Kama mchezo mchezo vile hawaelewi.

Yaani mwaka huu kila kitu kimeshakamilika na kupangwa ndio maana wabishi bado tunawacheck tu.

Lissu ndiye Rais wa JMT kuanzia October 2020.
Wewe si ndio ulikuwa unaomba corona ije tanzania ili iwaue ccm?

Sasa kwa akili kama hizi zako utaachaje kufikiri kwamba Lisu atakuwa rais
 
Kusoma hujui hata picha uoni? Jamaa kazungumzia Nyamongo vs Iringa kutrend
Unaongelea kutrend wapi? Jf?

Bado mna maujinga ya kutrend tu?

Kutrend bila mikakati ya kushinda si ujinga huu?
 
Pole zako nyingi hata huyu bibi kakuzidi akili.

Bibi ana msongo wa mawazo huyo...kwahiyo yeye anaona maisha ya uhuru tulionao ni heri ya mkoloni?

Nyie subirieni October 28 CCM tuwashikishe adabu.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Kwa akili yako FINYU mkipimwa akili wewe na Bibi yako itaonekana na hitilafu kubwa sana. Utamshikisha adabu nani wewe kwa ushindi haramu na hivyo kuwa na Serikali haramu?

Bibi ana msongo wa mawazo huyo...kwahiyo yeye anaona maisha ya uhuru tulionao ni heri ya mkoloni?

Nyie subirieni October 28 CCM tuwashikishe adabu.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Nyamongo kumetokea nin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…